Sunday, March 29, 2020

KUNA FAIDA HIZI UKIKOJOA BAADA YA TENDO LA NDOA

UMUHIMU WA KUKOJOA BAADA
YA TENDO LA NDOA👌👌🎯

🤫😍🔞Mara nyingi tunashauriwa kukojoa kila baada ya tendo la ndoa. Japokuwa wanawake wengi pamoja na kuwa na hamu ya kwenda haja ndogo kila baada ya tendo ila kutokana na uvivu na uchovu ujikuta katika usingizi mzito na kusahau tendo hili muhimu baada ya kufika kileleni. Umuhimu wa tendo hili ni kupunguza na kuzuia uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya njia ya mkojo(U.T.I) na magonjwa ya zinaa(S.T.I)

😋😍Ikumbukwe kuwa tendo la ndoa huongeza presha kwenye kibofu na kusababisha hamu ya kukojoa kila baada ya tendo hali inayokuwezesha kuondoa vimelea vya magonjwa mbali mbali kabla ya kusambaa kwenye kibofu na sehemu nyingine za mwili kusababisha matatizo makubwa. kwa wanaotumia kondomo pia unashauriwa kufanya hivo endapo itapasuka sambamba na kusafisha sehemu za uke na uume kwa maji safi
kwa wanaofanya mapenzi ya mdomo(chumvini na kulamba kone) unashauriwa kutoingiza shahawa, maji maji ya uke/ume na damu mdomoni kwani kuna hatari kubwa ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa, ukimwi na hepatitis B.
🆓🆓ILI upate elimu ya chumbani kiurahisi Zaid bonyeza link ya App

https://play.google.com/store/apps/details?id=mwanaapp.appjbh

⏸️ ZINGATIA USAFI WAKATI WA KUFANYA TENDO LA NDOA👌

UKE KUTOA SAUTI NA JINSI ZA KUMALIZA SAUTI WAKATI WA TENDO

🌹UKE KUTOA SAUTI,WAKATI WA TENDO na jinsi ya kumaliza sauti hizo.
🔞🔞 Wakubwa Tu🔞🔞

🤔🤔Kwa mwanamke ambae ameshawahi kukutana na jambo hili zaid ya mara moja basi anajua ni fedhea kiasi gani hua anapata na kukosa hamu kabisa ya kuendelea na TENDO.

🌹SASA TATIZO SIO KUSIKIKA KWA SAUTI HiYO ILA NI MWANAUME KUTO KUJUA NINI MAANA  YAKE.
👉👉JE NI UGONJWA ,TATIZO AU NI JAMBO LA KAWAIDA AKISHA JUA HILI HATA WEZA KUMCHEKA MWANAMKE NA KUMUONA WA AJABU KIMAUMBILE.

👌KWANINI UKE HUTOA SAUTI

Umbo la uke lipo katika hali ya mikunjo mikunjo kitaalam huitwa VAGINA RUGAE ambapo mikunjo hiyo ipo kama mikunjo ya bati sasa pindi inapo ingia hewa huiminya na kutoa nje ndo maana kuna mikao ukikaa hufanya uke kufinya hewa ile na hewa kutoka kwa kutoa sauti ima kwenye tendo😋kwenye mazoez au hata ukiwa unafanya usafi

 🌹IKIWA IMETOKEA WAKATI WATENDO*💞

kuna mikao ambapo hupelekea hewa kuingia na uume unapo toka na kuingia huiminya hewa hiyo na hapo hutoa mlio

🙄🙄ukiangalia kwa makini ni kama vile koromeo likipitisha gesi/hewa  hutoa mlio sawa na huo japo huu unauita kucheua na ule una sema ni kama ushuzi lakin sio hivyo ikiwa utatafakari

SABABU ZA UKE KUTOA SAUTI.

👉UREFU WA UKE kutoka katika kizaz japo sio wote.

👉UDOGO WA UUME HASWA UPANA (GIRTH) unaweza kua na uume mrefu na bahat mbaya ukawa sio mnene kuweza kushika kuta za uke na upepo kuweza kuingia pindi unapo ingiza

👉WATU WALIO JIFUNGUA japo sio wote

👉KUTANUA UKE kupita kiasi chake haswa katika mikao wakati wa tendo 😋.

🆕MwanaApp #wakubwa Tu 🔞

🎯UTAWEZAJE KUKABILIANA NA SAUTI UKENI.

💞ANGALIA MIKAO YA KUFANYA AMBAYO HAITA RUHUSU HEWA KUINGIA NDANI

💞TUMIA MAJI YA BARIDI
KUJISAFISHIA UKE KILA UNAPO MALIZA RAUNDI KATIKA TENDO**😋 AU KUJISAFISHA IMA UKIWA UMETOKA CHOONI AU ASUBUHI
🆓Kwa elimu zaidi ya chumbani bonyeza link ya App 👇👇

https://play.google.com/store/apps/details?id=mwanaapp.appjbh
👉Toa maoni happy chini
💞💞Kumbuka sio tatizo kiafya🍌🍌

Friday, March 27, 2020

MWANAMKE USIFANYE HIVI UKIWA KITANDANI,UTAFANYA ACHEPUKE.

👌MWANAMKE USIFANYE HAYA UKIWA KITANDANI ,UTAMFANYA ACHEPUKE .
   
😲WATOTO  hawataelewa👌👌

 🌹Ewe mwanamke🌹         

🌹Haipendezi kumtengea pot la chakula mumeo kisha ajipakulie mwenyewe🌹           

🌹 Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunawa akatafute mwenyewe🌹

🌹Haipendezi kumtengea chakula mumeo kisha maji ya kunywa akatafute mwenyewe🌹     

🌹Haipendezi Kumtengea chakula mumeo bila kumwambia karibu chakula laazizi wangu🌹               

🌹Haipendezi  mume kamaliza kula Kisha aangaike kutafuta kitambaa cha kufutia mkono🌹       

🌹Haipendezi mume kamaliza kula vyombo vikabaki mezani wakati wewe mke upo tuuu🌹     

🌹 Haipendezi Mume kamaliza kula Kisha aaze kufuta au kufagia sehemu aliyolia, wakati wewe upo umekaa tu🌹     
       
🌹Mume akiitaji chakula mtengee vizuri

🌹Mpakulie mumeo ukiwa umetulia
 kisha mnawishe taratibuuuu, ukimaliza mkaribishe kwa tabasamu njoo mume
chakula chako chote.☑️
🌹Mlishe tonge mbili tatu za karibu bwana Kisha muache ale mwenyewe🌹     

🌹Kaa nae karibu ale huku anakuangalia mkewe, chakula kiingie tumboni vizuri🌹   

🌹Raha ya chakula mume ale mke anasindikiza🌹 

🌹usimfanye mumeo akuone kama ujafundwa kwenu🌹 

🌹 Mapenzi ni vionjo tuuuu haina kwenda kwa waganga🌹

🌹 jinsi utamvyomlea vizuri mumeo ndivyo nae atavyozidisha mapenzi kwako 🌹
#watoto BADO hawata elewa tuu👇
toa comments .
✍️✍️ JIONGEZE ♥️♥️

Thursday, March 26, 2020

DALILI ZA MPENZI MWENYE MICHEPUKO

❤️❌UKIONA DALILI HIZI JUA MWENYAKO ANAMCHEPUKO👌

Dalili hizi zinaweza kukupa taswira kuwa mmoja kati ya wanandoa haridhiki na mwenzake, sasa anatafuta mchepuko kwa kuhisi ndio atamaliza haja zake.

Dalili hizi ni miongoni mwa dalili zinaonyesha tayari kuna mabadiliko hayo yametokea, yupo mgombea mwenza katika kiti hicho cha mapenzi,

UKIONA DALILI HIZI JUA MWENZAKO ANA MCHEPUKO.
1. Anashindwa kupokea simu mbele yako.
🤫2. Kujitenga anapopokea simu, au anaongea na simu kwa sauti ya chini.
🤫3. Mnapokua pamoja simu yake anaitoa sauti au anaizima kabisa, Airplane mode.
🤫4. Anakata simu ghafla anapohisi upo karibu na anafuta rekodi zote za simu yake.
🤫5. Hapendi ushike simu yake na anaibeba yake kila mahali.
🤫6. Majina feki katika list ya majina.mfano kibajaji,mjeda ,kitonga.
fundi nk.
🤫7. Kudanganya mahali alipo.
🤫8. Wrong namba kila mara utamsikia umekosea namba.
🤫9. Dharau, nyodo na kebehi. Hana Wasiwasi juu ya kuachana kwenu.
❤️10. Kukukosoa mara kwa mara. anapenda kukulinganisha na watu wengine .mara haupo romantic upo upo tu👌
11. Ukali usio wa kawaida wala sababu.
12. Kutojali hisia zako.
13. Kupunguza wivu ghafla. hata akute upo na mtu mwingine hata hakuulizi anaona kama umesimama na inzi tuu👌
🙄🙄chunguza vizuri utapata jibu ‼️‼️

FAIDA ZA KULALA BILA CHUPI

👙USILALE NA CHUPI UNAKOSA MAMBO   HAYA👌👌
🌹🌹 MwanaApp 💡❤️

🌹🌹Binadamu alivyoumbwa na Mungu anapaswa kujisitiri kwa kuvaa mavazi yatakayofunika mwili wake. Lakini mavazi haya hayapaswi kuvaliwa kwa muda wote (masaa 24/7 kwa siku), kutokana na sababu mbali, za kiafya au za kawaida kama ilivyo asili ya uumbaji.

👙👙Nchi zenye ukanda wa hali joto ikiwemo Tanzania, kulala huku ukiwa umevaa nguo ni moja ya vitu hatari kiafya, kwani inaweza kusababisha madhara kiafya ,pia miwasho sehemu za Siri👌

Hapa nakupa sababu tano muhimu ambazo zitakazokufanya kuanzia leo usilale na nguo yoyote, na hii ni kwa faida yako mwenyewe.

👙👙1. Kulala vizuri🌹🌹

Hapa inaeleweka wazi kisayansi kuwa ili ulale vizuri mwili wako unahitaji kutulia, upoe, na ndio maana tunaoga kabla ya kulala, ili kupunguza joto mwilini,  ukiwa umevaa nguo mwili wako unabaki kuwa na joto,  na kukufanya ukose usingizi na kukosa utulivu,  lakini ukilala bila nguo, unaruhusu mwili wako kupata hewa ya kutosha na kusaidia kupoza joto la mwili, na kukupa usingizi mzuri zaidi.

👙👙2. Kuacha mwili upumue🌹🌹

Kila sehemu ya mwili wetu umeundwa kwa seli zinazohitaji hewa ili zipumue, ukiwa unalala na nguo zinakuwa hazipati hewa ya kutosha hata kama mwili unakuwa haufanyi kazi yoyote zaidi ya kutulia tu. Hii zaidi kwa wanawake ambao wanalala na nguo za ndani , ukilala na nguo za ndani unawapa fursa bacteria  na  'yeast' kukua ndani ya mwili. Hivyo kulala bila nguo itakuepusha na magonjwa yatokanayo na bacteria hasa kwa wanawake.(fungasi wa ukeni utaepukana nao)

3. Husaidia kuondoa msongo wa mawazo na mwenza wako.👙❤️

✍️Wote tunajua kukumbatiana wakati umelala na mwenzi wako ni njia bora ya kuondoa msongo wa mawazo, lakini iwapo utafanya hivyo mukiwa hamjavaa nguoo ni bora zaidi mwili utaweza kuzalisha iitwayo (HORMONE OF LOVE❤️ oxytocin)  Unajua kwa nini!?. Hii ni kwa sababu mawasiliano ya ngozi kwa ngozi bila kujihusisha na tendo la ndoa ni bora zaidi na kukufanya akili itulie na kukufanya ujihisi vizuri zaidi, na kuondoa mawazo yote.

4. HUONGEZA FURAHA NA UKARIBU NA MPENZI WAKO.👙👌

❣️❣️Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa kwa zaidi ya wanandoa 1000 wa nchini Uingereza, ulionesha kwamba wanandoa wanaolala bila nguo wana furaha zaidi kuliko wale wanaolala na nguo. Hii ni kutokana na yale yalioyoelezwa kwenye maelezo ya kipengele chana 3, hivyo inasaidia kukuza uhusiano wao na kuburudishana, kutengeneza 'muunganiko' zaidi kutokana na kulala bila kikwazo chochote kati yao.

👙👙5. Kupunguza uzito👌

🤔🤔Utaona kama ni jambo la ajabu kuwa kulala bila nguo kunahusiana vipi na kupunguza uzito!?. Lakini ukweli ni kwamba ukiwa unalala 'uncomfortable', utakuwa na stress zaidi ambazo zitakusababisha kula vyakula ambavyo havifai kwa afya ya mwili, ili tu ujifurahishe. Lakini ukilala ukiwa umetulia hukupunguzia msongo wa mawazo, na kukufanya uwe usiyekuwa na wasiwasi wa jambo lolote.

✍️✍️BORESHA AFYA YAKO YA MWILI NA AKILI KWA KULALA BILA NGUO LEO.