❤️❌UKIONA DALILI HIZI JUA MWENYAKO ANAMCHEPUKO👌
Dalili hizi zinaweza kukupa taswira kuwa mmoja kati ya wanandoa haridhiki na mwenzake, sasa anatafuta mchepuko kwa kuhisi ndio atamaliza haja zake.
Dalili hizi ni miongoni mwa dalili zinaonyesha tayari kuna mabadiliko hayo yametokea, yupo mgombea mwenza katika kiti hicho cha mapenzi,
UKIONA DALILI HIZI JUA MWENZAKO ANA MCHEPUKO.
1. Anashindwa kupokea simu mbele yako.
🤫2. Kujitenga anapopokea simu, au anaongea na simu kwa sauti ya chini.
🤫3. Mnapokua pamoja simu yake anaitoa sauti au anaizima kabisa, Airplane mode.
🤫4. Anakata simu ghafla anapohisi upo karibu na anafuta rekodi zote za simu yake.
🤫5. Hapendi ushike simu yake na anaibeba yake kila mahali.
🤫6. Majina feki katika list ya majina.mfano kibajaji,mjeda ,kitonga.
fundi nk.
🤫7. Kudanganya mahali alipo.
🤫8. Wrong namba kila mara utamsikia umekosea namba.
🤫9. Dharau, nyodo na kebehi. Hana Wasiwasi juu ya kuachana kwenu.
❤️10. Kukukosoa mara kwa mara. anapenda kukulinganisha na watu wengine .mara haupo romantic upo upo tu👌
11. Ukali usio wa kawaida wala sababu.
12. Kutojali hisia zako.
13. Kupunguza wivu ghafla. hata akute upo na mtu mwingine hata hakuulizi anaona kama umesimama na inzi tuu👌
🙄🙄chunguza vizuri utapata jibu ‼️‼️
No comments:
Post a Comment