✍️Love clinic
👩⚕️👩⚕️Ni swali ambalo wanume wengi wamekua wanajiuliza.je size ipi ya uume ndo tunasema ni sawa(normal or average), je ni size gani ya uume ndo inakua kibamia?
📚📚Kulingana na utafiti uliochapishwa kwenye harida la Madaktari wa mfumo wa uzazi wa wanaume La Uingereza (BRITISH JOURNAL OF UROLOGY INTERNATIONAL) soma nakala ya utafiti HAPA
urefu wa kawaida wa uume uliolala(flaccid penis) ni kuanzia inch 3.61 kuendelea na urefu wa uume uliosimama ni kuanzia inch 5.16. Na unene wa kawaida wa uume uliolala ni kuanzia inch 3.66 wakati unene wa kawaida kwa uume uliosimama ni kuanzia inch 4.59.
📌📌Endelea kufatana nami ili kufahamu zaidi kuhusu size ipi ni sawa kwa uume,size ipi nzuri kwa kuridhishana wakati wa tendo la ndoa na kipi unaweza kufanya kama una wasiwasi na maumbile yako kuwa madogo.
📚📚TAFITI ZINASEMAJE🗣️🗣️
Utafiti wa JARIDA LA MADAKTARI WA MFUMO WA UZAZI WA WANAUME ulitumia Majaribio takribani 17 na kuhusisha wanaume zaidi ya 15,000. Katika utafiti huu ilionekana kwamba 95% ya wanaume walikua na urefu wa inch6.3 na kwamba kati ya wanume 100 wanaume 5 tu ndo wana size zaidi ya inch 6.3. na asilimia 5% walionekana kuwa na uume wa inch 3.94,ikimaanisha kuwa wanaume 5 kati ya 100 wana uume chini ya inch 3.94.
JINSI YA KUPIMA SIZE YA UUME
💞💞Vipimo vya uume vipo vya aina mbili.wakati uume umelala na wakati uume umesimama.
Kuna urefu wa uume wakati umelala na urefu wakati uume umesimama,hivyo hivyo pia unene wakati uume umelala na unene wakati umesimama.
🌹🌹Kupima urefu wakati uume umelala na wakati umesimama chukua rula unapima kuanzia kwenye mfupa wa Pubis(pubic bone) hadi ncha ya kichwa cha uume.
Kupima unene chukua tape measure na pima mzunguko wa uume.

JINSI YA KUPIMA UREFU

JINSI YA KUPIMA UNENE

👌JE UNAWEZA KUONGEZA SIZE YA UUME?👌👌
Jibu ni ndio inawezekana,vipo vifaa maalum Vinajulikana kama penis vacum pumps na madawa mbali mbali ya kuongeza size ya uume lakini vitu hvi vina madhhara pia kwa mtumiaji.Yapo mazoezi maalumu ya kuongeza size ya uume ambayo nitaelezea katika makala inayofata.
😋😋Unapochagua njia ya kuongeza uume inapaswa kuwa makini na kuelewa kwa undani njia hiyo inafanyaje kazi na ina madhara gani.njia ya maozezi imeonekana kutokuwa na madhara.
No comments:
Post a Comment