✍️MwanaApp ♥️ clinic ya mapenzi⚕️
🍎🍎 Kitendo hiki ni pale mwanamke anapoweka uume wa mwenza wake mdomoni mwake na kuanza kunyonya kama pipi /mjini wanaika kulamba coni au mwanaume kuingiza ulimi ukeni pamoja na kunyonya via vya mwanamke (😋kuzama chumvini) pindi wapenzi hawa wawapo faragha.
👌👌Kumekua na ongezeko la kitendo hiki kwa vijana na imekua kama ni sehemu ya mahaba kwa wapenzi hata inafikia hatua mwanaume ANAONA MKE/MPENZI WAKE Ni (Mshambaa) HAJUI MAHABA KAMA HAJAMNYONYA UUME AU MWANAMKE KUONA HIVYO ASIPONYONYWA YEYE.VILE VILE KUNA WANAWAKE WANAONA KUFANYA MAPENZI BILA KUNYONYA NI USHAMBA.😎"Et MAPENZI UCHAFU".
😍Vyumbani mambo mengi sana hutokea katika suala zima la mapenzi, nitaenda kusema kwa ufupi madhara ya kunyonya.
1.KISONONO CHA KOO.
Kama unafanya hiki kitendo halafu ukute mwanamke/mwanaume ana magonjwa ya zinaa kama kisonono inakua rahisi kwa mnyonyaji kuambukizwa. Kumbukeni kama mwanamke ana kisonono sio rahisi kumgundua kama ilivyo kwa mwanaume.
2.SARATANI YA KOO.
Hii hasa huwapata wanawake ambao hupenda kunyonya uume wanaume wengi na hivyo kuwaweka katika hatari ya kuambukiwa vimelea wanaosababisha saratani hiyo mfano HPV.
3.KUBADILISHANA VIJIDUDU (BACTERIA ).
Kama wote tunavofahamu ya kwamba kwenye miili yetu kuna vijidudu (bacteria) Rafiki (normal flora); sasa hao bacteria wakiingia sehemu ambayo sio yake huleta madhara kwani wameingia eneo ambalo hawajazoea, wataingia sehemu mpya kwa kuwanyonya kutoka kwa mwanamke au mwanaume. Hii inaweza isilete madhara mapema lakini uendeleaji wa kunyonya nyonya wanaume au wanawake wengi mara kwa mara hupelekea kupata madhara mengi na mengine ni magumu kutibu.
4. Kupata madonda mdomoni.
5. Kujiweka katika hatari ya kupata saratani za mdomo, ulimi na Koo pale unapokuwa unameza maji maji ya sehemu unayoinyonya.nk.
🤔🤔Kupitia hili pia ijulikane kwamba mwili una bacteria wa faida ambao kitaalamu hutambulika kama Normal flora.
🍎🍎Normal flora hao wapo mdomoni, Ukeni (Wa ukeni husafisha uke na kuweka mazingira ya ukeni tofauti na sehemu zingine ), Puani, Na maeneo mengine.
🍓🍓Normal flora wa Mdomoni akienda Ukeni husababisha matatizo ya kiafya halikadhalika kwa normal flora wa Ukeni wakienda mdomoni husababisha maradhi.
🍏🍏Mbadilishano huo hupekekea kuzaliwa kwa maradhi sugu yasiyopona.
Utashangaa siku hizi watu wa natumia dawa za kupambana na harufu mbaya ukeni/kutokwa na uchafu ukeni wanapata nafuu na hali inajirudia bila kupata ata ahueni wasijue huenda wanatibu huku wanaambukiza tena, Inakua ngumu kupona!!!!!
🌺🌺Kama unatatizo la uchafu ukeni na harufu mbaya ukeni fika hospitali upimwe tatizo hilo linatokana na nini, utapewa dawa tumia dozi ipasavyo kama unatabia hiyo ya kunyonyana acha uone kama tatizo litajirudia au laa.
🍎KWELI WANASEMA MAPENZI UCHAFU ILA USALAMA WA AFYA NI MUHIMU.👌
👉🗣️Toa maoni yako happy chini.
No comments:
Post a Comment